MWENYEKITI WA CCM DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TISA WA JUMUIYA YA WAZAZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM KATIKA UKUMBI WA JAKAYA KIKWETE MJINI DODOMA DISEMBA 12,2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM ambae pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula,makamu Rais Mama Samia Suluhu Hassan,Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi Alhaji Abdalah Bulembo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete  mjini Dodoma kwenye  ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 Jumuiya ya Wazazi CCM Disemba 12, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM ambae pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula,makamu Rais Mama Samia Suluhu Hassan,Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano Mhe,Kassim Majariwa,Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi Alhaji Abdalah Bulembo na katibu mkuu wa CCM Komred Abdurahaman Kinana  wakiafuatilia maelezo kutoka kwa mkandarasi wa kampuni ya ELITE consultancy kuhusu ujenzi wa jengo la jumuiya hiyo linalojengwa Ilala jijini Dar esalaam kabla ya kuingia katika ukumbi wa Jakaya Kikwete  mjini Dodoma kwenye  ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 wa Jumuiya ya Wazazi CCM Disemba 12, 2017.

 

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM ambae pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa mkandarasi wa kampuni ya ELITE  kuhusu ujenzi wa jengo la jumuiya hiyo linalojengwa Ilala jijini Dar esalaam kabla ya kuingia katika ukumbi wa Jakaya Kikwete  mjini Dodoma kwenye  ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 wa Jumuiya ya Wazazi CCM Disemba 12, 2017.

Mjane wa Hayati Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere(wakwanza kushoto)akiwa na Mjane wa Rais wa kwanza wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar Bi.Fatuma Karume(wapilin kutoka kulia),Mama Mary Majariwa mke wa waziri mkuu mstaafu pamoja na mke wa mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Abdallah Bulembo wakiwa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete  mjini Dodoma kwenye  ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 Jumuiya ya Wazazi Disemba 12, 2017.

Wajumbe wa Jumuiya ya wazazi CCM   wakishangilia hotuba ya Mweneyekiti wa CCM  Dkt.John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Jakaya Kikwete  mjini Dodoma kwenye  ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 Jumuiya ya Wazazi CCM Disemba 12, 2017.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya Chama cha mapinduzi CCM Alhaji Abdalah Bulembo akihutubia katika ukumbi wa Jakaya Kikwete  mjini Dodoma kwenye  ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 Jumuiya ya Wazazi CCM Disemba 12, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM ambae pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi na Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula,makamu Rais Mama Samia Suluhu Hassan baada ya hotuba ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi Alhaji Abdalah Bulembo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete  mjini Dodoma kwenye  ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 Jumuiya ya Wazazi   Disemba 12, 2017.

 

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM ambae pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia  katika ukumbi wa Jakaya Kikwete  mjini Dodoma kwenye  ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 Jumuiya ya Wazazi CCM Disemba 12, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM ambae pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na komredi Abdurahaman Kinana Katibu mkuu wa CCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete  mjini Dodoma mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa 9 Jumuiya ya Wazazi   Disemba 12, 2017.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *