RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA TAWI LA BENKI YA CRDB JENGO LA LAPF DODOMA DISEMBA13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB alipokuwa akiwasili wakati wa sherehe za Ufunguzi wa tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe.Jobu Ndugai wakati wa sherehe za Ufunguzi wa tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine wa kitaifa wakiimba wimbo wa taifa wakti wa sherehe za ufunguzi wa tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

 Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt.Charles Kimei akizungumza mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli wakati wa ufunguzi wa tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB pamoja Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt.Charles Kimei wakimkabidhi hundi ya shilingi milioni 100 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli kwaajili ya Ufadhili wa miradi mbalimbali ya maendeleo kabla ya kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akikabidhi mfano wa hundi ya milioni 100 kwa Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt.Bilinith Mahenge kwaajili ya ujenzi wa Hodi katika Hospitali ya mkoa Dodoma  mara baada ya kukabidhiwa hundi hiyo na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB Bw.Ally Laay kabla ya kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akihutubia wananchi kabla ya  kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri mkuu mstaafu wa  Jamhuri ya Muungano  Mzee John Malecela mara baada ya kuhutubia wakati wa kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akifungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akimpongeza Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB mara baada ya kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akikata utepe kuashilia kufungua rasmi tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe.Jobu Ndugai mara baada ya kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na aliyekuwa Waziri wa kwanza wa Serikali za Mitaa nchini Balozi mzee Job Lusinde mara baada ya kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na kumpongeza  Msanii wa muziki wa kizazi kipya Peter Msechu mara baada ya kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *