RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMEWAAPISHA MABALOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM FEBRUARI 16,2018.

Balozi Mteule Muhidini Mboweto aliyeteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria na Balozi Mteule Dkt.Willbrod Slaa aliyeteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden wakisubiri kuapishwa na Rais Dkt.John Pombe Magufuli,hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.Februari 16,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi mteule Muhidini Mboweto Balozi wa Tanzania nchini Nigeria,hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 16,2018.

Balozi mteule Muhidini Mboweto akiapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden,hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 16,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimshuhudia Balozi Muhidini Mboweto akisaini hati yake ya kiapo mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria,hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 16,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Balozi Muhidini Mboweto mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria,hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 16,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi mteule Dkt.Willbrod Slaa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden,hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 16,2018.

Balozi mteule Dkt.Willbrod Slaa akiapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden,hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 16,2018.

 

Balozi Dkt.Willbrod Slaa akisaini hati ya kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli mara baada ya kuapa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden,hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 16,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akitia sahihi katika hati ya kiapo ya Balozi Dkt.Willbrod Slaa mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden,hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 16,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Balozi Dkt.Willbrod Slaa mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweeden,hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 16,2018.

Mabalozi wapya wakiapa kiapo cha Maadili kwa watumishi wa Umma kwa Kamshina wa Maadili Jaji mstaafu Haroid Nsekela huku Rais Dkt.John Pombe Magufuli akishuhudia mara baada ya kuwaapisha Balozi Muhidini Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria na Balozi Dkt.Willbrod Slaa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden,hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 16,2018.

Balozi Muhidini Mboweto akizungumza mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na waalikwa wengine mara baada ya kuapishwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria,hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 16,2018.

 

Balozi Dkt.Willbrod Slaa akizungumza mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na waalikwa wengine mara baada ya kuapishwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden,hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 16,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania nchini Sweden  Dkt. Wilbroad Slaa wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba akiongea machache baada ya mabalozi  hao kula kiapo katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 16, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza  Muhidini Mboweto baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 16, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza  Dkt. Wilbrod Slaa baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 16, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ  Luteni Jenerali Yakubu Mohamed aliyeungana na viongozi wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama kushuhudia  kuapishwa kwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania nchini Sweden  Dkt. Wilbroad Slaa   katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 16, 2018 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli,  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma  Jaji (Mst) Harold Nsekela na  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi   wakiwa katika picha ya kumbukumbu na  Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania nchini Sweden  Dkt. Wilbroad Slaa baada ya mabalozi  hao kula kiapo katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 16, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli,  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma  Jaji (Mst) Harold Nsekela na  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi  na Wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wakiwa katika picha ya kumbukumbu na  Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania nchini Sweden  Dkt. Wilbroad Slaa baada ya mabalozi  hao kula kiapo katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 16, 2018   

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli,  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma  Jaji (Mst) Harold Nsekela na  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi  na maofisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje wakiwa katika picha ya kumbukumbu na  Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania nchini Sweden  Dkt. Wilbroad Slaa baada ya mabalozi  hao kula kiapo katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 16, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Muhidini Mboweto aliyeapishwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria na Balozi Dkt.Willbrod Slaa aliyeapishwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden,hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 16,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Balozi Dkt.Willbrod Slaa mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweeden,hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 16,2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *