RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI AIDAN ISIDORE MFUSE NOVEMBER 01, 2014

1sscscs

  Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha  Maombolezo wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam  Novemba 1, 2014  kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Novemba  2014

6 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake
za mwisho na kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse
katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam  Novemba
1, 2014  kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi
yanayotarajiwa kufanyika kesho Novemba 2, 2014

5Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji familia ya
marehemu  wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan
Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es
slaam  Novemba 1, 2014  kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda
Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho  2, 2014

2 Waziri wa Ulinzi Dkt Hussein Mwinyi na Waziri wa Ujenzi Dkt John
Pombe Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho wakati wa kuaga mwili wa
Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya
JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam Novemba 1, 2014  kabla ya mwili
huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika
Novemba 2, 2014

3
Rais Mstaafu Mhe Benjamin William Mkapa akitoa heshima za mwisho
wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse
katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo Novemba
1, 2014  kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi
yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2, 2014

4

Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akifariji familia yamarehemu  wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam Novemba 1, 2014  kabla ya mwili huo kusafirishwa kwendaNjombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika  Novemba 2,2014

 7

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Mhe
Benjamin William Mkapa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt
Hussein Mwinyi, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli, Mkuu wa
Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni
Jenerali Samuel Ndombe wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali
Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar
es slaam  Novemba 1, 2014  kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda
Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika  Novemba 2,
2014

 


 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *