RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI NA KUWAAPISHA MAJAJI 10 WA MAHAKAMA KUU,NAIBU MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI PAMOJA NA NAIBU MKURUGENZI WA MASHTAKA.IKULU JIJINI DAR ES SAALAAM,APRILI 20,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kamishna wa Amani na Usalama wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Balozi Smail Chergui.Ikulu jijini Dar es Salaam.Aprili 20,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Kamishna wa Amani na Usalama wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Balozi Smail Chergui.Ikulu jijini Dar es Salaam.Aprili 20,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Kamishna wa Amani na Usalama wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Balozi Smail Chergui Ikulu jijini Dar es Salaam.Aprili 20,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Misri ambaye kwasasa ni Mshauri wa Rais wa Misri Injinia Ibrahim Mahlab kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.Aprili 20,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Misri ambaye kwasasa ni Mshauri wa Rais wa Misri Injinia Ibrahim Mahlab kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.Aprili 20,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Misri ambaye kwasasa ni Mshauri wa Rais wa Misri Injinia Ibrahim Mahlab Ikulu jijini Dar es Salaam.Aprili 20,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Misri ambaye kwasasa ni Mshauri wa Rais wa Misri Injinia Ibrahim Mahlab mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.Aprili 20,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Thadeo Marco Mwenempazi mmoja wa wateule 10 walioapishwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam.Aprili 20, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha  Dkt. Ally Salehe Possi kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Ikulu jijini Dar es salaam. Aprili 20, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia baada ya kuwaapisha Majaji Kumi wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali na Manaibu Mwanasheria Mkuu, Mkurugenzi wa Mshataka na Wakili Mkuu  Ikulu jijini Dar es salaam.Aprili 20, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG), Prof. Mussa Assad baada ya kuwaapisha Majaji Kumi wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali na Manaibu Mwanasheria Mkuu, Mkurugenzi wa Mshataka na Wakili Mkuu  Ikulu jijini Dar es salaam.Aprili 20, 2018.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwapongeza baada ya kuwaapisha Majaji Kumi wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali na Manaibu Mwanasheria Mkuu, Mkurugenzi wa Mshataka na Wakili Mkuu  Ikulu jijini Dar es salaam.Aprili 20, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Mheshimiwa Jaji Thadeo Marco Mwenempazi mara baada ya kumuapisha  kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam.Aprili 20, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Mhe. Dkt. Ally Saleh Possi baada ya kuwaapisha Majaji Kumi wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali na Manaibu Mwanasheria Mkuu, Mkurugenzi wa Mshataka na Wakili Mkuu  Ikulu jijini Dar es salaam.Aprili 20, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Jaji Kiongozi Mhe Ferdinand Wambali baada ya kuwaapisha Majaji Kumi wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali na Manaibu Mwanasheria Mkuu, Mkurugenzi wa Mshataka na Wakili Mkuu  Ikulu jijini Dar es salaam.Aprili 20, 2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *