RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA JENGO LA GOROFA LA PSPF NA MAKAO MAKUU YA NMB DODOMA,APRILI 23,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alikiwasili ili kufungua jengo la mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF pamoja na ofisi ya makao makuu ya benki ya NMB na tawi la NMB Kambarage Mjini Dodoma.Aprili 23,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri Mhe,Job Ndugai kabla ya kufungua jengo la mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF pamoja na ofisi ya makao makuu ya benki ya NMB na tawi la NMB Kambarage Mjini Dodoma.Aprili 23,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri Mhe,Job Ndugai  pamoja na viongozi wengine wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kufungua jengo la mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF pamoja na ofisi ya makao makuu ya benki ya NMB na tawi la NMB Kambarage Mjini Dodoma.Aprili 23,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri Mhe,Job Ndugai  pamoja na viongozi wengine wakipiga makofi mara baada ya  kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kufungua jengo la mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF pamoja na ofisi ya makao makuu ya benki ya NMB na tawi la NMB Kambarage Mjini Dodoma.Aprili 23,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiandika alipokuwa akimsikiliza Mbunge wa Dodoma Mjini ambaye pia ni Naibu waziri wa Kazi ,Ajira na Vijana Mhe.Anthony Mavunde  kabla ya kufungua jengo la mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF pamoja na ofisi ya makao makuu ya benki ya NMB na tawi la NMB Kambarage Mjini Dodoma.Aprili 23,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi wa NMB Bi. Ineke Bussemaker kabla ya kufungua jengo la mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF pamoja na ofisi ya makao makuu ya benki ya NMB na tawi la NMB Kambarage Mjini Dodoma.Aprili 23,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi Makongoro Nyerere mtoto wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius kambarage Nyerere iliyotolewa na Mkurugenzi wa NMB Bi. Ineke Bussemaker wakati wa sherehe za ufunguzi wa jengo la mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF pamoja na ofisi ya makao makuu ya benki ya NMB na tawi la NMB Kambarage Mjini Dodoma.Aprili 23,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi hundi ya milioni 50 Mbunge wa Dodoma Mjini ambaye pia ni Naibu waziri wa Kazi ,Ajira na Vijana Mhe.Anthony Mavunde  iliyotolewa na Benki ya NMB kabla ya kufungua jengo la mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF pamoja na ofisi ya makao makuu ya benki ya NMB na tawi la NMB Kambarage Mjini Dodoma.Aprili 23,2018.

 

Makongoro Nyerere mtoto wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius kambarage Nyerere akizungumza kwa niaba ya familia mara baada ya kupewa zawadi na kushuhudiwa Tawi la Benki ya NMB jipya linaloitwa Kambarage  wakati wa sherehe za ufunguzi wa jengo la mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF pamoja na ofisi ya makao makuu ya benki ya NMB na tawi la NMB Kambarage Mjini Dodoma.Aprili 23,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi alipokuwa akimsikiliza Makongoro Nyerere mtoto wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius kambarage Nyerere wakati wa sherehe za ufunguzi wa jengo la mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF pamoja na ofisi ya makao makuu ya benki ya NMB na tawi la NMB Kambarage Mjini Dodoma.Aprili 23,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi alipokuwa akimsikiliza Makongoro Nyerere mtoto wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius kambarage Nyerere wakati wa sherehe za ufunguzi wa jengo la mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF pamoja na ofisi ya makao makuu ya benki ya NMB na tawi la NMB Kambarage Mjini Dodoma.Aprili 23,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe za ufunguzi wa jengo la mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF pamoja na ofisi ya makao makuu ya benki ya NMB na tawi la NMB Kambarage Mjini Dodoma.Aprili 23,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri mkuu mstaafu Mhe.Mizengo Pinda mara baada ya kufungua kitambaa kuashiria ufunguzi wa jengo la mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF  Mjini Dodoma.Aprili 23,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine wa Serikali na Bunge kukata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo la mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF  Mjini Dodoma.Aprili 23,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa ramsi kuashiria ufunguzi wa  tawi la NMB Kambarage Mjini Dodoma.Aprili 23,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine wa Serikali,Bunge na viongozi wa NMB wakikata utepe  kuashiria ufunguzi wa  tawi la NMB Kambarage Mjini Dodoma.Aprili 23,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkurugenzi wa NMB Bi. Ineke Bussemaker na Naibu waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Ashantu Kijaji katika ofisi ya kibiashara ya Benki ya NMB tawi la Kambarage mara baada ya kufungua jengo la Ofisi ya makao makuu ya benki ya NMB na tawi la NMB Kambarage Mjini Dodoma.Aprili 23,2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *