RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI ASALI IBADA YA JUMAPILI,DOMINIKA YA 13 KATIKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO,OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM.JULAI 1,2018

 

 

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akisali Ibada ya jumapili,Dominika ya 13 iliyoongozwa na Padre Paulo Haule katika kanisa la Mtakatifu Petro,Oysterbay Jijini Dar es salaam.Julai 1,2018.

 

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akipiga makofi alipoungana na waumini wengine kushiriki katika Ibada ya jumapili,Dominika ya 13 katika kanisa la Mtakatifu Petro,Oysterbay Jijini Dar es salaam.Julai 1,2018

 

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na waumini wengine aliposhiriki katika Ibada ya jumapili,Dominika ya 13 iliyoongozwa na Padre Paulo Haule katika kanisa la Mtakatifu Petro,Oysterbay Jijini Dar es salaam.Julai 1,2018

 

Padre Paulo Haule akihubiri katika ibada ambayo pia Rais Dkt.John Pombe Magufuli aliungana na waumini wengine kushiriki katika Ibada ya jumapili,Dominika ya 13 katika kanisa la Mtakatifu Petro,Oysterbay Jijini Dar es salaam.Julai 1,2018

 

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akipeana mkono wa amani na  baadhi ya waumini walioshiriki katika Ibada ya jumapili,Dominika ya 13 iliyoongozwa na Padre Paulo Haule katika kanisa la Mtakatifu Petro,Oysterbay Jijini Dar es salaam.Julai 1,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Jaji Mstaafu Mhe. Thomas  Mihayo, ambaye nii mmoja wa wazee wa kanisa alipoungana na waumini wengine kusali Ibada ya Jumapili, Dominika ya 13, katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es salaam.Julai 1,2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *