RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA BAADHI YA VIONGOZI WAKUU WASTAAFU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.JULAI 3,2018

Viongozi Wakuu wastaafu wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam tayari kukutana na kuzungumza na mwenyeji wao Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliyewaalika 

 

Viongozi Wakuu wastaafu wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam tayari kukutana na kuzungumza na mwenyeji wao Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliyewaalika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu Kiiongozi Balozi John Kijazi akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam ili kukutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya viongozi wakuu na viongozi wastaafu ambao anakutana nao kwa mara ya kwanza wote kwa pamoja.Julai 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilali kabla ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. John Samwel Malecela kabla ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume kabla ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu Mhe. Benjamin William Mkapa kabla ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi kabla ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jogb Ndugai kabla ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim kabla ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya kabla ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 3,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba kabla ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 3,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Fredirick Sumaye kabla ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kabla ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda kabla ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika Msaafu Mhe. Pius Msekwa kabla ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika Mstaafu Mhe. Anne Makinda kabla ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mstaafu Mhe. Barnabas Samatta kabla ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mstaafu Mhe. Augustino Ramadhani kabla ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Mohamed Othman Chande kabla ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 3,2018.

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na  Jaji Mkuu wa Tanzania Mstaafu Mhe. Barnabas Samatta

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na  Jaji Mkuu wa Tanzania Mstaafu Mhe.Augustino Ramadhani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na baadhi ya viongozi wakuu wa sasa na Viongozi Wakuu Wastaafu katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Julai 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na baadhi ya viongozi wakuu wa sasa na Viongozi Wakuu Wastaafu katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Julai 3, 2018

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza Viongozi Wakuu mbalimbali wakiwemo, Marais Wastaafu, Makamu wa Rais Wastaafu, Mawaziri Wakuu Wastaafu, Maspika Wastaafu na Majaji Wakuu Wastaafu wakati wa Kikao chake Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Viongozi Wakuu mbalimbali wakiwemo, Marais Wastaafu, Makamu wa Rais Wastaafu, Mawaziri Wakuu Wastaafu, Maspika Wastaafu na Majaji Wakuu Wastaafu wakati wa Kikao chake Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Viongozi Wakuu mbalimbali wakiwemo, Marais Wastaafu, Makamu wa Rais Wastaafu, Mawaziri Wakuu Wastaafu, Maspika Wastaafu na Majaji Wakuu Wastaafu wakati wa Kikao chake Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

 

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamini Mkapa akizungumza katika mkutano huo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akizungumza katika mkutano huo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela akizungumza katika mkutano huo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye akizungumza katika mkutano huo Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Wakuu mbalimbali wakiwemo, Marais Wastaafu, Makamu wa Rais Wastaafu, Mawaziri Wakuu Wastaafu, Maspika Wastaafu na Majaji Wakuu Wastaafu mara baada ya kuzungumza nao Ikulu jijini Dar es Salaam. Waliokaa mstari wa mbele ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi,(watatu kutoka kushoto), Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamini Mkapa(watatu kutoka kulia) Waziri Mkuu Msaafu Cleopa David Msuya wapili kutoka kulia, Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume wapili kutoka kushoto, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Spika wa Bunge Job Ndugai. Waliosimama mstari wa nyuma kutoka kulia kuja kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Jaji Mkuu Mstaafu Agustino Ramadhan, Spika Mstaafu Mama Anna Makinda, Waziri Mkuu Mstaafu John Malecela, Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye, Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta, Spika wa Bunge mstaafu Pius Msekwa, Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowwasa, Makamu wa Rais Mstaafu Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu mstaafu Joseph Sinde Warioba, Waziri Mkuu Msatafu Mizendo Pinda pamoja na Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Othman Chande.Julai 3,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara baada ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *