AMIRI JESHI MKUU RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WAPYA123 WA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.JULAI 7,2018

 

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu kabla ya kuwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

 

 

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama wakari wimbo wa Taifa ukipigwa kabla ya kuwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

 

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride maalumu la maafisa wapya kabla ya kuwatunuku Kamisheni maafisa hao 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

 

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza maafisa wapya waliofanya vizuri zaidi katika masomo mbalimbali ya kijeshi kabla ya kuwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

 

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza maafisa wapya waliofanya vizuri zaidi katika masomo mbalimbali ya kijeshi kabla ya kuwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

 

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

Maafisa wapya wakivalishana vyeo vipya vya Luteni usu mara baada ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

Maafisa wapya wakipiga saluti baada ya kuvalishana vyeo vipya vya Luteni usu ambavyo Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewatunuku Kamisheni maafisa hao wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

 

Maafisa wapya wakila kiapo  mbele ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowatunuku Kamisheni maafisa hao wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

 

Wakuu na Viongozi wa Vitengo mbalimbali vya Jeshi wakishuhudia  Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

Wakuu na Viongozi wa Vitengo mbalimbali vya Jeshi wakishuhudia  Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

Mkuu wa chuo cha Mafunzo ya kijeshi cha Monduli(TMA) Luteni Jenerali Paulo Masawe akitoa taarifa ya kozi kwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada kuwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

 

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Viongozi wengine wa Serikali na Jeshi wakiangalia Kwata ya kimya kimya mara baada ya kuwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

 

 

 

Askari wa Kwata ya kimya kimya wakionyesha umahili wao mara baada Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  kuwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine akiondoka eneo la gwaride baada ya kutunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam. Julai 7, 2018

 

 

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Viongozi wengine wa Serikali na Jeshi wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 waliokula kiapo Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Jenerali Robert Mboma  mara baada ya kuwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo akizungumza mbele ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla ya kuwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

 

Baadhi ya Maafisa wakuu wa Jeshi na wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika hafla ya kuwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Luteni Jenerali Mstaafu Abdurahaman Shimbo amabaye alikuwa Mnadhimu wa Jeshi na Balozi wa Tanzania Nchini China katika hafla ya kuwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

 

 

 

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaliamiana na Maafisa Waambata Wa kijeshi wa Nchi mbalimbali katika hafla ya kuwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa wazazi wa afisa mpya aliyepewa kamisheni katika hafla ya kuwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

 

 

 

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wa kuwaaga wageni mbalimbali katika hafla ya kuwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassani mara baada ya hafla ya kuwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17  kumalizika Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *