RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AWAONGOZA WATANZANIA KUIPOKEA NDEGE MPYA YA SHIRIKA LA NDEGE LA ATCL AINA YA BOEING 787-8 DREAMLINER KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM.JULAI 8,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Mhandisi Isack Kamwele  mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kamataifa wa Julius Nyerere kwaajili ya mapokezi rasmi ndege mpya ya kisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akitia sahihi pamoja na Katibu Mkuu (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leonard Chamuriho kwa ajili ya makubaliano ambayo Serikali imeikodisha Ndege yake mpya aina ya Boeng 787-8 Dreamliner kwa Shirika la Ndege la ATCL kwa ajili ya kufanyia biashara ya usafiri wa anga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt.John Kijazi na Katibu mkuu wa Wizara ya   Mawasiliano na Uchukuzi Mhandisi Dkt.Leonard Chamriho wakikabidhiana ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner wakati wa sherehe za mapokezi ya ndege hiyo ambayo imenunuliwa na Serikali katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

 

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt.John Kijazi na Katibu mkuu wa Wizara ya   Mawasiliano na Uchukuzi Mhandisi Dkt.Leonard Chamriho wakionyesha vitabu vya makabidhiano ya ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za mapokezi ya ndege hiyo ambayo imenunuliwa na Serikali katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

 Taratibu za makabidhiano ya ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner zikiendelea wakati wa sherehe za mapokezi ya ndege hiyo ambayo imenunuliwa na Serikali katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi kabla ya kuwasili kwa Ndege mpya aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali.

Ndege mpya aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ikiwa juu katika anga ya Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Tanzania wakati ikitokea nchini Marekani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitazama juu ambapo ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali ikiwasili kwa mara ya kwanza katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitazama juu anakoonyeshwa na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassani ambapo ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali ikiwasili kwa mara ya kwanza katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

 

Ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali ikiwasili kwa mara ya kwanza katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Baadhi ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakishangilia wakati ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali ikiwasili kwa mara ya kwanza katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Inmi Petterson mara baada ya ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali kuwasili kwa mara ya kwanza katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi na Viongozi wengine wa Serikali na chama pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Inmi Petterson mara baada ya ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali kuwasili kwa mara ya kwanza katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

 

Ndege mpya aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali ikipewa Heshma ya kumwagiwa maji (Water salute ) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam

Muonekano wa ndege mpya aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali ikipewa Heshma ya kumwagiwa maji (Water salute ) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi na Viongozi wengine wa Serikali na chama pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Inmi Petterson mara baada ya ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali kuwasili kwa mara ya kwanza katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Muonekano wa ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili kwa mara ya kwanza katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitazama na Viongozi wengine wa Serikali na chama pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Inmi Petterson ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili kwa mara ya kwanza katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi CCM Dkt.Bashiru Ally mara baada ya ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali kuwasili kwa mara ya kwanza katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi na Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Inmi Petterson mara baada ya ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali kuwasili kwa mara ya kwanza katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Wafanyakazi wa Shirika la ndege la ATCL ambao wamewasili na  ndege hiyo mpya na ya kisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Viongozi wa kampuni ya Boeng ambao wamewasili na  ndege hiyo mpya na ya kisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Viongozi wa Serikali na Shirika la ndege la ATCL ambao wamewasili na  ndege mpya na ya kisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Inmi Petterson pamoja na viongozi wengine mara baada ya kuwasili kwa Ndege mpya aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali.Julai 8,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kuwapongeza  Marubani waliokuja na ndege mpya na ya kisasa ya Boeing 787-8 Dreamliner mara baada ya kuwasili katika katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Shirika la ndege la ATCL ambao wamewasili na  ndege hiyo mpya na ya kisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua ndege hiyo mpya na ya kisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua ndege hiyo mpya na ya kisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa nadani ya ndege mpya na ya kisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza ndani ya ndege hiyo mpya na ya kisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza ndani ya ndege hiyo mpya na ya kisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

 

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akifurahi na Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi Mhe.Kangi Lugola pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Dkt.Bashiru Ally ndani ya ndege  mpya na ya kisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia na kuwapongeza Viongozi na Wananchi mbalimbali waliondani ya ndege mpya na ya kisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri mara baada ya kuipokea rasmi ndege mpya ya kisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kuipokea rasmi ndege mpya ya kisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Julai 8,2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *