RAIS DKT.JOH POMBE MAGUFULI AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU, WAKUU WA MIKOA NA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA.IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.AGOSTI 1,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Brigedia Jenerali Nicodemus Elias Mwangela kuwa mkuu wa mkoa wa Songwe  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 1, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   akimuapisha Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 1, 2018 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimuapisha Ally Salum Hapi kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 1, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimuapisha Kalolina Albert Mthapula kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 1, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimuapisha  Dkt. Jim james Yonazi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano)  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Agosti 1, 2018

Viongozi wa dini wakiomba dua kwenye hafla ya kuapisha wateule mbalimbali iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Agosti 1, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiongea baada ya kuapisha viongozi wateule  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Agosti 1, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   akimpongeza  Brigedia  Jenerali Nicodemus Elia Mwangela aliyemwapisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe huku Brigedia Jenerali Marcho Elisha Gaguti aliyemuapisha kuwa mkuu wa Mkoa wa Kagera akisubiri zamu yake  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Agosti 1, 2018.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   akimpongeza  Andrew Wilson Massawe aliyemwapisha kuwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Agosti 1, 2018.  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   akimpongeza  David Zacharia Kafulika aliyemwapisha kuwa Katibu8 tawala wa Mkoa wa Songwe  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 1, 2018. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Jaji Kiongozi Dkt. Fereshi wakiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu, Naibu makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Katibu wa Mikoa walioapishwa kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 1, 2018. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Jaji Kiongozi Dkt. Fereshi wakiwa katika picha ya pamoja Wakuu wa Mikoa wa Zamani na   walioapishwa kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 1, 2018. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *