Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Sibiti wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.Septemba 10,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Sibiti wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.Septemba 10,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa cha jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.Septemba 10,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe mara baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.Septemba 10,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali, Mawaziri, Viongozi wa dini na Chama akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mitambo itakayotumika katika mradi huo wa ujenzi wa Daraja la mto Sibiti.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mmoja wa Mhandisi wa kampuni ya Hanan China inayojenga daraja hilo mara baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.Septemba 10,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wahandisi wa kampuni ya Hanan China inayojenga daraja hilo na kuwasisitiza kumaliza katika muda uliopangwa mara baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.Septemba 10,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Sibiti mara baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.Septemba 10,2018.
Kikundi cha ngoma cha utamaduni kikitumbuiza mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.Septemba 10,2018.
Wananchi wakiwa katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.Septemba 10,2018.