RAIS WA JAMHURI YA DEMOKRASIA YA CONGO (DRC) MHE. FELIX TSHISEKEDI AMALIZA ZIARA YAKE RASMI YA SIKU MBILI NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo  akiongea na vyombo vya habari vya ndani na nye ya nchi baada ya mazungumzo rasmi na mwenyeji wake   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuelekekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili Juni 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makaofi ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo  akiongea na vyombo vya habari vya ndani na nye ya nchi baada ya mazungumzo rasmi  kabla ya kuelekekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara rasmi ya siku mbili Juni 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimpongeza Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo alipomaliza kuzungumza na vyombo vya habari vya ndani na nye ya nchi baada ya mazungumzo rasmi  kabla ya kuelekekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara rasmi ya siku mbili Juni 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na vyombo vya habari vya ndani na nye ya nchi baada ya mazungumzo rasmi na mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo kabla ya kumsindikiza Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili Juni 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo  akimsikiliza mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na vyombo vya habari vya ndani na nye ya nchi baada yao mazungumzo rasmi na mwenyeji wake   kabla ya kuelekekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili Juni 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimpongezana na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo alipomaliza kuzungumza na vyombo vya habari vya ndani na nye ya nchi baada ya mazungumzo rasmi  kabla ya kuelekekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara rasmi ya siku mbili Juni 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedib Tshilombo wakiwaaga Wananchi waliojitokeza Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara rasmi ya siku mbili Juni 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na vyombo vya habari vya ndani na nye ya nchi baada ya mazungumzo rasmi na mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo kabla ya kumsindikiza Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili Juni 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi wakatia aikondoka Ikulu kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili. Juni
14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza  mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili jijini Dar es salaam  Juni 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda wakati wakisumbiri ili kumuaga mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili jijini Dar es salaam Juni 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo anayeagana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa afrika Mashariki  Mhe. Faraji Kasidi Mnyepe baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili jijini Dar es salaam Juni 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo anayeagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili  Juni 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo anayeagana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Mhe. Profesa palagamaba Kabudi  baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili jijini Dar es salaam Juni 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo anayeagana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili  Juni 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana kwa furaha na mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia 54 ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili  Juni 14, 2019

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *