ZIARA YA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI MKOANI SONGWE. AZINDUA KIWANDA CHA KAHAWA MLOWO, MRADI WA MAJI VWAWA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI WA MBOZI. OKTOBA 04, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kikundi cha ngoma za asili mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya wakati akielekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemas Mwangela mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe David Kafulila mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wanahabari wa mkoa wa Mbeya na Songwe mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Iyala Mbozi mkoani Songwe wakati akielekea Mbozi mjini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ruanda mkoani Mbozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa mji wa Mlowo Mbozi mkoani Songwe mara baada ya kuwasili wakati akitokea uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa mji wa Mlowo Mbozi mkoani Songwe mara baada ya kuwasili wakati akitokea uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya.

Wananchi wa Ilonga wakishangilia mara baada ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika eneo hilo Mkoani Songwe.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ilonga mkoani Songwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizindua kiwanda cha kukoboa Kahawa cha GDM Limited kilichopo Mlowo Mbozi mkoani Songwe.

Wananchi wa Ruanda wakishangilia mara baada ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika eneo hilo Mkoani Songwe. 

Wananchi wa Mlowo wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi Mbozi katika mkutano uliofanyika katika mji wa Vwawa mkoani Songwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi Mbozi katika mkutano uliofanyika katika mji wa Vwawa mkoani Songwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Mbozi wakati akitoka kuweka jiwe la msingi mradi wa uboreshaji wa huduma ya maji Vwawa mkoani Songwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia vikundi vya ngoma za asili kabla ya kuwahutubia wananchi wa Vwawa mkoani Songwe.

 

Wananchi wa Mbozi wakifurahia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwahutubia katika mji wa Vwawa. 

 

Wananchi wa Mbozi wakifurahia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwahutubia katika mji wa Vwawa. 

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akicheza ngoma ya kiasili wakati kikundi cha Vwawa kikitumbuiza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika eneo hilo.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Momba (Chadema) David Silinde mara baada ya kuwahutubia wananchi Mbozi katika mkutano uliofanyika katika mji wa Vwawa mkoani Songwe. 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *