RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA NACHINGWEA MKOA LINDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nachingwea mara baada ya kuwasili wakati akitokea Ruangwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nachingwea mara baada ya kuwasili wakati akitokea Ruangwa.

Sehemu ya Wananchi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Nachingwea mkoani Lindi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa Ikungu Nachingwea mkoani Lindi. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia hotuba yake kabla ya kuzungumza na wananchi wa Nachingwea mara baada ya kuwasili wakati akitokea Ruangwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati alipokuwa akizungumza na wananchi wa Nachingwea mara baada ya kuwasili wakati akitokea Ruangwa. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwakicheza pamoja na mmoja wa Wana CCM  wakati alipokuwa akizungumza na wananchi wa Nachingwea mara baada ya kuwasili wakati akitokea Ruangwa. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakicheza pamoja na Wanafunzi wenye ulemavu wa kuskia wa Shule ya Msingi Lukuledi Maalum mara baada ya kuwachangia Shilingi milioni 10.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakipunga mikono pamoja na Wanafunzi wenye ulemavu wa kuskia wa Shule ya Msingi Lukuledi Maalum mara baada ya kuwachangia Shilingi milioni 10.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakiwa pamoja na Wanafunzi wenye ulemavu wa kuskia wa Shule ya Msingi Lukuledi Maalum mara baada ya kuwachangia Shilingi milioni 10.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Masasi mkoani Mtwara mara baada ya kuwasili wakati akitokea Ruangwa mkoani Lindi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Lukuledi wakati akielekea Masasi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza pamoja na Wanafunzi wenye ulemavu wa kuskia wa Shule ya Msingi Lukuledi Maalum mara baada ya kuwachangia Shilingi milioni 10. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *