RAIS DKT MAGUFULI AKABIDHI JENGO LA WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI KWA JESHI LA POLISI, KUWA MAKAO MAKUU YAKE

Jengo ambalo Rais Dkt John Pombe Magufuli amelikabidhi Jeshi la
Polisi kufanya Makao Mkuu yake jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019.  Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95 lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola
alipowasili Tayari kukabidhi kwa Jeshi la Polisi jengo kwa jail ya
Makao make yake jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali
jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95 lilikuwa
linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikabidhi fungi za jengo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.
Kangi Lugola na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro wakati
akikabidhi jengo hilo kuwa Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini
Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95 lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikilkiza Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro alipokuwa
akishukuru kwa kukabidhiwa jengo hilo litakalokuwa Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95 lilikuwa
linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola
akishukuru kwa kuwakabidhi   jengo la Makao makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95 lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea machache baada ya kukabidhi jengo kwa adili ya Makao makao Makuu ya Jeshi la polisi jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95, hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitoa maagizo kwa wakandarasi wa jengo ambalo amelikabidhi  kuwa
Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95, hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola na
Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro pamoja na viongozi waandamizi
wa Kesho la polisi baada ya kukabidhi jengo hilo ambalo litakuwa
Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Kamanda wa Polisi wa Dodoma Giles Muroto baada ya kukabidhi jengo la  Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma. November 22, 2019. Awali jengo hilo lilikuwa linamilikiwa na
Wizara ya Maji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikabidhi picha za jengo ambalo amelitoa kuwa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dodoma  kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro wakati wa sherehe  ya uwekaji jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Polisi eneo la Nzuguni . Novemba 22, 2019

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *