RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWEKA MAWE YA MSINGI KATIKA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA BODI YA USAJILI YA WAKANDARASI NA MAKAO MAKUU UHAMIAJI TANZANIA – MKOANI DODOMA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa Idara ya Uhamiaji, viongozi mbalimbali pamoja na wananchi katika eneo linapojengwa jengo la Makao Makuu ya Uhamiaji mjini Dodoma.

Sehemu ya Jengo hilo la Makao Makuu ya Bodi ya Usajili wa Makandarasi kama linavyoonekana pichani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Jengo hilo la Makao Makuu ya Bodi ya Usajili wa Makandarasi linalojengwa mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi, CRB, pamoja na Taasisi nyingine zilizo chini ya Wizara hiyo mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Makao Makuu ya Bodi ya Usajili wa Makandarasi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya ujenzi wa Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa Kikombo Chamwino mkoani Dodoma. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *