RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UWANJA WA MAADHIMISHO YA TAIFA, MAKAO MAKUU YA ULINZIRAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UWANJA WA MAADHIMISHO YA TAIFA NA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA – KIKOMBO DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein
Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo wakisikiliza
maelezo toka kwa Mhandisi Kanali Zabron Mahenge akitoa maelezo kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma. Novemba 25, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein
Mwinyi wakimsikiliza  Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo akitoa ufafanuzi kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma.  Novemba 25, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein
Mwinyi pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo na maafisa waandamizi wengine akifunua kitambaa kuashiria uwekaji wa  jiwe la Msingi  la ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma.  Novemba 25, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.
Hussein Mwinyi akishuhudiwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance
Mabeyo, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ  Luteni Jenerali Yakub Mohamed baada ya kuweka  jiwe la Msingi  la ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma. Novemba 25, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein
Mwinyi pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo na maafisa waandamizi wengine akikata utepe kuashiria mwanzo wa ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma. Novemba 25, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein
Mwinyi pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo na maafisa waandamizi wengine akiongea machache baada ya kuweka   jiwe la Msingi la ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma. Novemba 25, 2019.

Picha mbalimbali zinaonyesha  Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma mara baada ya kakamilika. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea na wananchi wa Kijiji cha Chimilolo alipotoka katika hafla ya
uwekaji wa  jiwe la Msingi  la ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya
Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma.  Novemba 25, 2019

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *