RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) TAIFA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA KIKAO CHA MAJADILIANO CHA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) NEC KILICHOFANYIKA JIJINI MWANZA. DESEMBA 12, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe Magufuli akiongea katika Kikao cha  ufunguzi wa Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025 kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.

Wajumbe wa Halmshauri kuu ya CCM Taifa (NEC) wakimshangili Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe Magufuli akiongea katika hafla ya ufunguzi wa Kikao cha Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025 kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dkt. Ally mohamed Sheini wakiimba wimbo wa chama na wajumbe wengine katika hafla ya ufunguzi wa Kikao cha Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025 kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe akiwa katika hafla ya ufunguzi wa Kikao cha Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025 kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dkt. Ally mohamed Sheini, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula, Katibu Mkuu Dkt. Bashiru Ally katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chama na Serikali wa Mkoa wa Mwanza wakati wa Kikao cha ufunguzi wa Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025 kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) mara baada ya Kikao cha  ufunguzi wa Majadiliano chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025 kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dkt. Ally mohamed Sheini, Katibu Mkuu Dkt. Bashiru Ally pamoja na Viongozi wengine wa Chama mara baada ya Kikao cha ufunguzi wa Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025 kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *