Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Juni, 2020 amekutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein katika kikao cha ndani kilichofanyika Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein Ikulu ya Chamwino   Dodoma leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein Ikulu ya Chamwino   Dodoma leo.

Mhe. Rais Shein akiweka udongo katika jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za Ikulu akishuhudiwa na makamo mwenyekiti wa ccm Tanzania bara Mhe. Philp Mangula na Dkt. Bashiru Ally Kakurwa katibu mkuu wa ccm leo tarehe 03 -06-2020  Ikulu ya chamwino Dodoma.

Mhe. Rais Shein akiongea na mafundi na vijana wanaojenga ofisi ya ikulu chamwino baada ya kuweka udongo katika jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za Ikulu na kukagua maendeleo ya kazi ya ujenzi wa ofisi hizo inayofanywa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kupitia shirika lake la Suma JKT.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *