RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA CWT KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA

Picha namba.1-4,   Mhe. Rais  wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aki wahutubia  walimu  katika uwanja wa jamhuri  Mjini Dodoma , Mhe. rais  alikuwa mgeni rasmi katika mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama cha walimu nchini,  CWT.

Mhe. Rais  wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na  Waziri mkuu  Mhe. Kassim Majaliwa   wakifatilia  jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa uchaguzi  wa chama cha walimu  Tanzania   CWT. leo.

Mhe. Rais  wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  ,Waziri mkuu  Mhe. Kassim Majaliwa na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera ,Bunge ,Ajira na watu wenye ulemavu,  Mhe. Jenista Mhagama  wakifurahia  jambo  wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa uchaguzi  wa chama cha walimu  Tanzania   CWT. leo.

Mhe. Rais  wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na  Waziri mkuu  Mhe. Kassim Majaliwa   wakiongea    wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa uchaguzi  wa chama cha walimu  Tanzania   CWT. leo.

Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera ,Bunge ,Ajira na watu wenye ulemavu,  Mhe. Jenista Mhagama akitoa hotuba ya kumkaribisha  mgeni rasmi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada ya Kwaya ya Chama cha Walimu CWT kutumbuiza katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Viongozi mbalimbali pamoja na Walimu wakiimba Wimbo wa Mshikamano kabla ya kuanza kwa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CWT uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia Walimu wakati akiwasili katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kwa ajili ya ufunguzi Mkutano Mkuu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *