MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT. MAGUFULI ARUDISHA FOMU YA MAOMBI YA KUOMBA RIDHAA YA KUTEULIWA KUWA MGOMBEA WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM KATIKA MAKAO MAKUU YA CCM WHITE HOUSE JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya Ukumbi wa NEC mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kurudisha Fomu ya Maombi ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM mara baada ya kuzijaza Fomu hizo na kupita wadhamini katika mikoa yote ya Tanzania.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya Ukumbi wa NEC mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kurudisha Fomu ya Maombi ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM mara baada ya kuzijaza Fomu hizo na kupita wadhamini katika mikoa yote ya Tanzania.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasilisha na kusaini Fomu za maombi ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM mara baada ya kuzijaza Fomu hizo na kupita wadhamini katika mikoa yote ya Tanzania.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akionesha Fomu zake alizopata wadhamini mara baada ya kuzikabidhi kwa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa katika Ukumbi wa NEC makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na viongozi wengine wa Chama cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula, Katibu Mkuu Dkt. Bashiru Ally Kakurwa mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa NEC katika Makao Makuu ya CCM White House jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachama mbalimbali wa CCM waliokusanyika nje ya Ofisi za Makao Makuu ya CCM White House jijini Dodoma mara baada ya kurudisha Fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM.

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Sekretariet ya Chama cha Mapinduzi mara baada ya kuzungumza katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa CCM ,wafanayakazi na  Sekretariet ya Chama cha Mapinduzi mara baada ya kuzungumza katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wanachama wa CCM mara baada ya kuzungumza nao katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama White House jijini Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *