Mhe Rais Dkt. J.P.Magufuli awaapisha viongozi aliowateua Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Viongozi mbalimbali walioapishwa leo kushika nyadhifa mbalimbali wakila kiapo cha uadilifu  baada ya kuapishwa na Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  ikulu ya Chamwino  Dodoma  leo tarehe 16 julai 2020.

Dkt. Seleman Serera  mkuu wa Wilaya mteule wa Wilaya ya Kongwa akila kiapo mbele ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo 16 Julai 2020.

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa katika picha ya pamoja na  Mkuu wa Mkoa mteule  wa Dar es salaam  Mhe. Aboubakar Kunenge  baada ya kumuapisha  ikulu ya Chamwino leo 16 Julai 2020.

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa katika picha ya pamoja na  Mkuu wa wilaya  ya  Kiteto mkoani Manyara  Kanali Patrick Norbert Songea baada ya kumuapisha  ikulu ya Chamwino leo 16 Julai 2020.

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa katika picha ya pamoja na  Mkuu wa wilaya  ya  Hanang mkoani Manyara   mhe. Gharib Lingo baada ya kumuapisha  ikulu ya Chamwino leo 16 Julai 2020.

Mhe. Makamo wa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania  Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na  waziri  wa nchi ofisi ya Rais Tamisemi  mhe, Suleiman Jafo na Katibu mkuu kiongozi Balozi   John .W. H.Kijazi  wakizungumza wakati wa hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali  Ikulu ya Chamwino leo.

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  akizungumza na  viongozi mbalimbali aliowateua na kuwaapisha kushika nyadhifa mbalimbali  Ikulu ya Chamwino leo 16 Julai 2020.

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya  Mhe. Alrbert Chalamira akizungumza na  viongozi mbalimbali wakati wa hafla yaRais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli   kuwaapisha  viongozi aliowateua kushika nyadhifa mbalimbali  Ikulu ya Chamwino leo 16 Julai 2020.

Dkt. Seleman Serera  mkuu wa Wilaya  ya Kongwa akitia Saini hati ya kiapo cha uadilifu baada ya kuapishwa  kuwa mkuu wa wilaya ya  Kongwa mkoani Dodoma.

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa katika picha ya pamoja na  Bi. Johari Khamis Athuman Katibu Tawala wa wilaya ya Rombo, baada ya kumuapisha  Ikulu ya Chamwino leo 16 Julai 2020.

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa katika picha ya pamoja na  Mkurugenzi mtendaji  wa Kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC)  Dkt. Maduhu Isaac Kazi baada ya kumuapisha  ikulu ya Chamwino leo 16 Julai 2020.

 

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Makamo wa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania  Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na  waziri  wa nchi ofisi ya Rais Tamisemi  mhe, Suleiman Jafo na Katibu mkuu kiongozi Balozi   John .W. H.Kijazi   viongozi mbalimbali aliowateua na sambamba na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama    baada ya hafla ya uapisho  Ikulu ya Chamwino leo 16 Julai 2020.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *