Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKt.J.P.Magufuli akikabidhi uenyekiti wa SADC kwa Mhe. Filipe Jacinto Nyusi Rais wa Jamhuri ya Msumbiji .

Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKt.J.P.Magufuli akikabidhi uenyekiti wa SADC kwa Balozi wa Msumbiji Mhe.Monica Patricio Clemente Musa kwa niaba ya Rais Filipe Jacinto Nyusi Rais wa Jamhuri ya Msumbiji , wakati wa Mkutano wa 40 wa wakuu wa Nchi na serikali wa SADC uliofanyika leo Agost 17 kwa njia ya Mtandao ,Chamwino, Dodoma

Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKt.J.P.Magufuli akiwa Mwenye furaha akifatilia mkutano kwa njia ya mtandao Mara baada ya kukabidhi uenyekiti wa SADC kwa Rais Filipe Jacinto Nyusi Rais wa Jamhuri ya Msumbiji ambae nae ataiongoza SADC kwa kipindi Cha Mwaka mmoja , wakati wa Mkutano wa 40 wa wakuu wa Nchi na serikali wa SADC uliofanyika ,Chamwino, Dodoma

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *