Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli aendelea kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM

 

Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiingia kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kinachoendelea   Chamwino Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo tarehe 19 Agosti, 2020

Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kinachoendelea  kwa siku ya pili  Chamwino   Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein wakitoka nje ya ukumbi baada ya kumaliza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana kwa siku mbili  jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka  mara baada ya kumalizika kwa  Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM leo  Chamwino jijini Dodoma

Makamu mwenyekiti Tanzania Bara  mzee Philp Mangula , Katibu Mkuu  Dkt. Bashiru Ally , Makamo wa pili wa Rais Zanzibar  Balozi Seif Idd ,Makamo wa Rais  Mhe. Samia Sululu   na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein wakiwa wame simama nje ya ukumbi  kuagana na mara baada ya kumalizika kwa  Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM leo  Chamwino jijini Dodoma

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein akiondoka mara baada ya kumalizika kwa  Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM leo  Chamwino jijini Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *