RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS WA MALAWI DKT CHAKWERA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA KITUO CHA KISASA CHA MABASI YAENDAYO MIKOANI NA NCHI JIRANI MBEZI LUIS DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wafungua jiwe la msingi la ujenzi wa standi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani na nchi jirani , eneo la Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam leo tarehe 08 Oktoba 2020. 

Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera akipungia mkono wananchi walio jitokeza kushuhudia uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa standi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani na nchi jirani , eneo la Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam leo tarehe 08 Oktoba 2020. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *