MHE.RAIS MAGUFULI AHUDHURIA UFUNGUZI WA MSIKITI MPYA WA MASJID ABOUBAKAR ZUBERI CHAMWINO DODOMA

Mhe. Rais Dkt John Pombe Magufuli leo amehudhuria. Ufunguzi wa Msikiti mpya wa Chamwino uliojengwa baada ya Mhe .Rais kuendesha harambee ya ujenzi huo wakati wa ufunguzi wa kanisa katoliki la Chamwino msikiti umepewa jina la Sheikh Mkuu wa Tanzania Aboubakar Zubery. Hafla ya uzinduzi ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Dini leo tarehe 26 .10.2020 Chamwino Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *