HABARI PICHA ; MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWENYE KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MKOANI MWANZA, TAREHE 1 MEI, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akilihutubia Taifa Kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani MEI MOSI Kitaifa 2021 iliyofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza leo Mei 01,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, alipowasili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza kwa ajili ya kulihutubia Taifa Kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani MEI MOSI Kitaifa 2021 iliyofanyika leo Mei 01,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Baada ya kulihutubia Taifa Kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani MEI MOSI Kitaifa 2021 iliyofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza leo Mei 01,2021.