Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China aliyemaliza muda wake hapa nchini Wang Ke, Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 04 Juni, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Balozi wa China aliyemaliza muda wake hapa nchini Wang Ke mara baada ya kuwasili Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Balozi wa China aliyemaliza muda wake Wang Ke ambaye alifika Ikulu ya Chamwino kwa ajili ya kuaga mara baada ya kumaliza muda wake hapa nchini.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na Balozi wa China aliyemaliza muda wake Wang Ke ambaye alifika Ikulu ya Chamwino kwa ajili ya kuaga mara baada ya kumaliza muda wake hapa nchini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Balozi wa China aliyemaliza muda wake hapa nchini Wang Ke wakati wakiagana mara baada ya mazungumzo yao Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *