Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akutana na Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kufanya tathmini ya Ugonjwa wa Korona Covid -19 leo tarehe 04 Juni, 2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimshukuru Mwenyekiti wa Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kufanya tathmini ya Ugonjwa wa Korona Covid -19 Profesa Said Aboud alipokuwa akikabidhi mapendekezo ya Mpango kazi wa kutafuta Rasilimali kwa ajili ya utekelezaji wa Mpango Mkakati wa taifa wa kukabiliana na janga la ugonjwa wa Korona.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kufanya tathmini ya Ugonjwa wa Korona Covid -19

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *