Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Awasili Nchini Msumbiji kwa Ziara ya Kikazi ya Siku Mbili Tarehe 22 Juni, 2021.

Mhe. Rais Samia awasili Jiji Maputo nchini Msumbiji kwa ziara ya kikazi ya siku 2 ambapo tarehe 23 Juni, 2021 atahudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili tarehe 22 Juni, 2021 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC utakaofanyika tarehe 23 Juni, 2021.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *