Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Awasili Jijini Dodoma Akitokea Jijini Dar es Salaam leo Tarehe 04 Julai, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma  akitokea Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa amefuatana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma  akitokea Jijini Dar es salaam 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *