Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Awaongoza Viongozi mbalimbali na Wananchi Kuaga Mwili wa Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Marehemu Elias John Kwandikwa katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam Leo Tarehe 06 Agosti, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza viongozi mbalimbali na wananchi  kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa  marehemu Elias John Kwandikwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiifariji familia ya aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa  Hayati Elias John Kwandikwa baada ya kuongoza ibada ya kuaga mwili wa marehemu Kwandikwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *