Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Bagamoyo Mkoani Pwani tarehe 02 Septemba, 2021 alipowasili katika Eneo la Uvuvi Bagamoyo kwa ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini.