Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Ashiriki Ufunguzi wa Mkutano wa 76 UN tarehe 21 Septemba, 2021Mjini New York, Nchini Marekani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (U)N unaofanyika Jijini New York, Marekani. Wa pili kushoto  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *