Matukio Mbalimbali ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 76 wa UN Mjini New York Nchini Marekani tarehe 22 Septemba, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki katika kumbukizi ya Miaka 20 ya Azimio la Durban linalofanyika katika ukumbi wa Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York, Marekani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa Baraza la Ulaya Mhe. Charles Michael, walipokutana Jijini New York Nchini Marekani Sept 22,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza  na Rais wa Baraza la Ulaya Mhe. Charles Michael, walipokutana Jijini New York Nchini Marekani Sept 22,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye mkutano wa pamoja kati ya Wafanyabiashara wa  Tanzania na Marekani ambapo amesisitiza kuimarishwa kwa Biashara kati ya Mataifa hayo mawili ili kuwa na faida kwa pande zote mbili. Mkutano huo umefanyika  Sept 22,2021 Jijini New York Nchini Marekani. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *