Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Afungua Kongamano la Wachungaji na Maaskofu na Maadhimisho ya Miaka 50 ya Anglkana Tanzania katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha St. John’s Jijji Dodoma Tarehe 28 Septemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la Wachungaji na Maaskofu wa Kanisa Anglikana Tanzania na Maadhimisho  ya Miaka 50 Kanisa hilo.
Baadhi ya waumini waliohudhuria Kongamano la Wachungaji na Maaskofu wa Kanisa Anglikana Tanzania na Maadhimisho  ya Miaka 50 Kanisa hilo katika Viwanja vya Chuo Kikuu St. John’s Jijjini Dodoma.
Sehemu ya waumini na wachungaji waliohudhuria Kongamano la Wachungaji na Maaskofu wa Kanisa Anglikana Tanzania na Maadhimisho  ya Miaka 50 Kanisa hilo katika Viwanja vya Chuo Kikuu St. John’s Jijjini Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *