Siku ya Kwanza ya Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Kilimanjaro tarehe 15 Oktoba, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuzindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita  32.2 katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro Oktoba 15,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita  32.2 katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro Oktoba 15, 2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Ujenzi Mhe. Makame Mbarawa pamoja na baadhi ya watendaji Wakuu wa Wizara hiyo mara baada ya   kuzindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita  32.2 katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro Oktoba 15, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro mara baada ya   kuzindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita  32.2 katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro, tarehe 15 Oktoba, 2021.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Daraja la Rau linalojengwa katika Eneo la Rau Halmashauri ya Moshi Mjini Mkoani Kilimajaro leo tarehe 15 Oktoba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Jengo la Huduma ya Afya ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa katika Eneo la Mawezi Mkoani Kilimanjaro tarehe 15 Oktoba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Hadhara Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro tarehe 15 Oktoba, 2021.
Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro, wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokua akiwahutubia mkutano wa Hadhara katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi tarehe 15 Oktoba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa Hadhara Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mjini katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi tarehe 15 Oktoba, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuhutubia Mkutano wa Hadhara katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 15 Oktoba, 2021
.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *