Mhe. rais Samia Suluhu Hassan Arejea Nchini Akitokea Scotland na Kufanya Ziara ya Kushtukiza Eneo la Ufukwe wa Coco na Daraja la Tanzanite Eneo la Selander Jijini Dar es Salaam Tarehe 05 Novemba, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam tarehe 04 Novemba 2021 alipokua akitokea nchini Glasgow, Scotland alikohudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa uliojadili kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi Duniani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Novemba 2021 alipokua akitokea nchini Glasgow, Scotland alikohudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa uliojadili kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi Duniani.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala Barabara nchini (TANROADS) Mhandisi Rogatius Mativila kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Tanzanite linaloendelea kujengwa katika eneo la Selander Jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara ya kushtukiza tarehe 04 Novemba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Tanzanite linaloendelea kujengwa katika eneo la Selander Jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara ya kushtukiza leo tarehe 04 Novemba 2021. Kulia ni  mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mhandisi Rogatius Mativila.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wafanyabiashara wadogowadogo katika eneo la Coco Beach Jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara ya kushtukiza tarehe 04 Novemba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na wafanyabiashara wadogowadogo katika eneo la Coco Beach Jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara ya kushtukiza tarehe 04 Novemba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohammed Gharib Bilal alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Novemba 2021.
.
.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *