Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Sera na Ubia benki ya Dunia Tarehe 15 Novemba, 2021

.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Sera na Ubia katika Benki ya Dunia (WB) Prof. Mari Pangestu, wakati Mkurugenzi Pangestu alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Novemba, 2021.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *