Mhe. Rais Samia akutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa masuala ya Biashara wa Waziri Mkuu wa Uingereza na kukutana na Mwenyekiti wa Mabenki ya Umoja wa Afrika pia amekutana na kuzungumza na Ujumbe kutoka kampuni ya DP World na kuzungumza kwa njia ya mtandao na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Equinor tarehe 17 Novemba, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza Mhe. Boris Johnson, anyeshugulikia masuala ya Biashara kati ya Uingereza na Tanzani Bw. Lord Walney mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam
.
.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwenyekiti wa Mabenki ya Umoja wa Afrika (UBA) Dkt. Tony Elumelu, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya mtandao na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Equinor Anders Opedal, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *