Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Azindua Rasmi Hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha Tarehe 23 Novemba, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifuta Kamba kuondoa kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuashiria kuzinduzi rasmi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha  leo tarehe 22 Novemba 2021. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Uwekezaji wa AlBwarddy Mhe. Ali AlBwardy, wa pili kulia Ni Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Damas Ndumbaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye uzinduzi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza  na Mwenyekiti wa Uwekezaji wa AlBwarddy Mhe. Ali AlBwardy wakati wa sherehe ya uzinduzi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana  na Mwenyekiti wa Uwekezaji wa AlBwarddy Mhe. Ali AlBwardy na baadhi ya Viongozi mbalimbali baada ya kuzinduzi rasmi Gran Melia Hotel Jijini Arusha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *