UTEUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Salome Thaddaus Sijaona kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Ardhi (ARU).

Balozi Sijaona anachukua nafasi ya Balozi Prof. Costa Ricky Mahalu ambaye amemaliza muda wake.

Uteuzi huu umeanza tarehe 02 Desemba, 2021.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *