UTEUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya Uteuzi na mabadiliko ya vituo vya kazi kwa baadhi ya Wakuu wa Wilaya kama ifuatavyo:-

  1. Bw. Said Mohamed Mtanda aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi amehamishiwa Wilaya ya Arusha.
  • Bw. Abbas Juma Kayanda aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu amehamishiwa Wilaya ya Moshi.

Aidha, Mhe. Rais Samia amemteua Bw. Dadi Horace Kolimba, kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu.

Bw. Kolimba anachukua nafasi ya Bw. Abbas Juma Kayanda ambaye amehamishiwa Wilaya ya Moshi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *