Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Aipongeza Timu ya Taifa ya Mpira ya Miguu kwa Watu wenye Ulemavu kwa Hatua ya Kufuzu Kushiriki katika Kombe la Dunia la Watu wenye Ulemavu 2022 Nchini Uturuki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na kuwapongeza Viongozi na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu kwa Watu wenye Ulemavu, kufuatia kufuzu kushiriki katika Kombe la Dunia kwa Watu wenye Ulemavu 2022 Nchini Uturuki. Hafla hiyo iliyoambatana na Chakula cha Mchana imefanyika tarehe 07 Desemba 2021 katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Baadhi ya Viongozi wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu kwa Watu wenye Ulemavu baada ya kuzungumza nao tarehe 07 Disemba 2021 katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam.
.
.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *