RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU ABDU MFWIMI ADAM MKWAWA KATIKA KIJIJI CHA KARENGA IRINGA FEBRUARI 16, 2015

5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini katika kitabu cha maomborezo baada ya kuwasili kushiriki mazishi ya aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa katika  Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.

7

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo  Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.

3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji  Chifu mpya wa Wahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa  katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu Mkwawa, Kijiji cha Karenga  Februari 16, 2015

9dhdh

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa   katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu Mkwawa, Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *