Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Ashuhudia Utiaji Saini Mikataba ya Uchimbaji Madini Nchini Tarehe 13 Desemba, 2021 katika Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye hafla ya utiaji Saini makubaliano kati ya Serikali na Kampuni 4 za Uchimbaji wa Madini za Black Rock Mining LimitedStrandline Resources Limited na Nyanzaga katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Desemba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishuhudia tukio la Utiaji Saini makubaliano kati ya Serikali na Kampuni za Uchimbaji Madini za Black Rock Mining LimitedStrandline Resources Limited na Nyanzaga katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Desemba 2021.
.
.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishuhudia makabidhiano ya Hati mara baada ya tukio hilo la kusaini makubaliano kati ya Serikali na Kampuni za uchimbaji Madini za Black Rock Mining LimitedStrandline Resources Limited na Nyanzaga katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Desemba 2021.
.
.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *