UTEUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali: –

  1. Amemteua Dkt. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA).              

Dkt. Saqware ni Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA).

  • Amemteua Bw. Charles Jackson Itembe kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Eneo Maalum la Mauzo ya Nje (EPZA).

Bw. Itembe ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Azania (Azania Bank Limited).

  • Amemteua Bw. Ernest Maduhu Mchanga kuwa Katibu wa Tume ya Pamoja ya Fedha (JFC).

Bw. Mchanga ni Katibu Msaidizi, Fedha na Utawala, Tume ya pamoja ya Fedha (JFC) kutoka Wizara ya Fedha na Mipango.

Uteuzi huu umeanza tarehe 01 Januari, 2022.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *