Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Azungumza na Viongozi wa Wamachinga wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Tarehe 25 januari, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Wamachinga wa Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na Viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 25 Januari, 2022.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Viongozi mbalimbali wa Wamachinga kutoka Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na Viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 25 Januari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu Mwenyekiti wa Wamachinga Taifa Bw. Stephen Lusinde mara baada ya kuzungumza na viongozi hao wa Wamachinga Ikulu Jijini Dar es Salaam leo 25 Januari, 2022.
.
.
.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *