Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza alipokua njiani akielekea Mkoani Mara leo Tarehe 04 Februari 2022.....Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Magu Mkoani Mwanza leo tarehe 04 Februari, 2022 wakati akielekea Mkoani Mara kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku nneRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Lamadi Mkoani Simiyu leo tarehe 04 Februari, 2022 wakati akielekea Mkoani Mara kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku nneRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Bunda mkoani Mara wakati akielekea Musoma Mjini.Wananchi wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika mji wa Bunda mkoani Mara.Kikundi cha ngoma za asili cha Kiabakari Mkoani Mara kikitumbuiza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika eneo hilo leo tarehe 04 Februari, 2022Wananchi wa Kiabakari wakimsikiliza Mhe. rais Samia Suluhu Hassan aliposimama kuwasalimia wananchi wa eneo hilo akiwa njiani kuelekea Mara katika ziara ya kikazi ya Siku 4Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kiabakari Wilaya Butiama alipowasili Mkoani Mara kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku nne leo Tarehe 04 Februari 2022....